MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU ATUMA UJUMBE WA KUAGA FACEBOOK KISHA AJINYONGA!DAAH........!!
!Ama kweli Facebook imeleta mambo duniani! Yaani mtu unataka kujiua
unakumbuka kwamba kuna Facebook,unaingia,una-Log in,unatuma Post then
Una-Log out,unaenda unajiua!Hii ni kali ya Mwaka!
Mwanafunzi huyu,mpaka sasa haieleweki nini hasa ni chanzo kilichosababisha exactly ajiue lakini kuna element kwamba kuna shida
flani aliipata akiwa chuoni na kuna maneno yalisemwa dhid yake na
hakuyapenda,akaamua kufikia uamuzi wa kuukatisha uhai wake kwa Kamba
kwenye mti wa Mwembe kijijini kwao,Ipaja mjini Lagos!
Jina lake
kamili ni Ayodeji Balogun,Mwanafunzi wa Chuo Kikuu kinachoitwa National
Open University mjini Lagos ambacho ni equivalent na Open University of
Tanzania (OUT),kwa bongo kwetu.
Kinachonishangaza mimi sio uamuzi wake wa kujiua...Watu wengi wanajiua kwa sababu mbalimbali,ILA,style yake ya kujiua...
Yaani kweli unajiua unakumbuka Kupost Status,Facebook...Whats on your
Mind??/Unaandika Goodbye to you all mi najiua,duh,kweli Izraili mtoa
roho nae ameanza kupenda teknolojia
status yake ya mwisho kuandika hii hapa..>>>>>>>>>>>>>>
KWENYE MTI WA MWEMBE! MSOMI KABISAAA WA CHUO KIKUU!
No comments:
Post a Comment